St. Gallen ni mji uliopo nchini Uswisi katika jimbo la St. Gallen.
Mnamo Januari 2019 ulikuwa na wakazi 76,000 .
Makala hii kuhusu maeneo ya Uswisi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu St. Gallen kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |